OUR EVENTS

image

KanyigoKashenye ziara ya likizo corona kwa wanafamilia wa Bukoba Hope. Ilikuwa ya mwanzo ikawa nzuri ikatusaidia kuweka mipango mizuri ya kuzuru wengine. Kwa Bukoba Hope likizo ya corona imetuathiri lakini imetufumbua macho. Tuliandaa nukuu (notes) kwa wanafunzi wote. Awamu ya pili zitasambazwa kuanzia 1/6/2020. Tunakutana na kuzungumza na watoto wetu.