OUR EVENTS

image

Tulizuru wanafamilia wa BK Mjini na maeneo jirani wanaoendelea na likizo ya corona. Tulikuwa Kanisa Kuu la Kilutheri. Wanaendelea kuandika nukuu (notes) za awamu ya kwanza. Awamu ya pili zitatoka 01/06/2020