OUR EVENTS

image

FAMILIA YA BUKOBA HOPE YASHIRIKI KWA IBADA MAZISHI YA SHUJAA WA TANZANIA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI TAREHE 26 MACHI 2021. TULIVAA VITAMBAA NA NGUO NYEUSI. TUMEPANDA MITI 4,500 KWENYE SHAMBA AMBALO TUMEITA SHAMBA LA MAGUFULI. HILI LITAENDELEZWA KILA MWAKA ILI KUTENGENEZA MSITU MNENE WENYE HADHI YA MAGUFULI.