Admission at Bukoba Hope Lutheran Secondary School
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA BUKOBA HOPE LUTHERAN
• Shule ni ya Kidato I hadi IV
• Ni shule ya bweni tu kwa dini na madhehebu yote
• Shule inapokea wanafunzi wa kiume na kike
• Mwombaji awe amehitimu darasa la saba.
• Kila mwezi Septemba au Oktoba tunatoa mitihani ya kujiunga na shule Kidato I
• Anayehitaji kuhamia pia hufanya mtihani wa masomo manne: History, English, Mathematics, na somo moja la Sayansi.
• Ambaye hakupata nafasi ya kufanya mtihani wetu wa kujiunga Kidato I, njia nyingine hutumika kujua sifa za mwombaji ili aweze kujiunga.