OUR EVENTS

image

WANAOTAKA KUJIUNGA KIDATO I 2020 NA HAWAJAFANYA MTIHANI WALIO UELEKEO WA BUKOBA MJINI WAFIKE KIBETA ENGLISH MEDIUM (KEMPS) NA WALIO UELEKEO WA SHULENI WAJE BUKOBA HOPE IBWERA RUHIJA. NI SIKU YOYOTE YA KAZI SAA 2:00 ASUBUHI ILI WAFANYE MTIHANI. WALIO UELEKEO WA MULEBA WAFIKE SHULE YA MSINGI KAIGARA 25/09/2019 JUMATANO SAA 2:00 ASUBUHI WAFANYE MTIHANI. WALIO MAENEO YA NGOTE WAFIKE SHULE YA MSINGI KARAMBI 25/09/2019 SAA 2:00 ASUBUHI.